Mark 11 GX 110 engine 1G-FE vvti inatumia oil lita ngapi?

eliji

Member
Joined
Mar 19, 2020
Posts
6
Reaction score
8
Wakuu habari,

Naomba kujua gari Aina ya mark 11 GX 110 engine 1G-FE vvti inatumia oil lita ngap maana wengine wanasema Lita 4 wengine lita5 na Mimi nimeweka lita4 nimeona kabisa ipo full kwenye stick mzoefu naomba anisaidie wakuu.
 
Hiyo vvti ndio yenye 4cylinder?
 
Back
Top Bottom