Naomba kujua gari Aina ya mark 11 GX 110 engine 1G-FE vvti inatumia oil lita ngap maana wengine wanasema Lita 4 wengine lita5 na Mimi nimeweka lita4 nimeona kabisa ipo full kwenye stick mzoefu naomba anisaidie wakuu.