Car4Sale Mark 2 baloon.3.5mln

Car4Sale Mark 2 baloon.3.5mln

edger jairos

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2017
Posts
335
Reaction score
71
Bei maelewano.
Mwaka.1994
Engine cc 1938
4 cylinder
full ac
Haidaiwi.+ full vibari.
Engine mpya.
Gear box ziko poa san
With no problem
IMG_20181020_215424_881.jpeg
IMG_20181020_215424_885.jpeg
IMG_20181020_215424_853.jpeg
IMG_20181020_215424_854.jpeg
IMG_20181020_215424_868.jpeg
IMG_20181019_070420_9.jpeg
IMG_20181019_070309_3.jpeg

Can watsap or call 0713099309
Bei 2.5
 
Watanzania ufike wakati tujifunze kukubaliana kuwa kitu hiki kimeisha, kimemaliza thamani yake kikiwa mkononi mwangu. Kisha tukijua hivyo hili tangazo lingekuwa hivi:-

Spea za gari zinauzwa, ukinunua gari hii utapata spea kama vile .....,.....n.k

Lakini kudanganya watu mara injini mpya mara nini ni dhambi. Hivi bei ya injini mpya hata ya bajaji unaweza kuipata kwa million 3.5?
 
Ukijua thamani ya spea na ujue thamani ya gar.hatupimi uzur wa kitu kweny thamani au fashion.ukimaliza kunywa soda kwenye kopo ukatupa wengin wanaokota .we are .not equal
 
ila hapo kwenye engine mpya!
 
Nina laki na nusu nifugie simbilisi na kalulu humo
 
Watanzania ufike wakati tujifunze kukubaliana kuwa kitu hiki kimeisha, kimemaliza thamani yake kikiwa mkononi mwangu. Kisha tukijua hivyo hili tangazo lingekuwa hivi:-

Spea za gari zinauzwa, ukinunua gari hii utapata spea kama vile .....,.....n.k

Lakini kudanganya watu mara injini mpya mara nini ni dhambi. Hivi bei ya injini mpya hata ya bajaji unaweza kuipata kwa million 3.5?
Mtazamo tu kwani hio bei si ni sawa na bei ya spea tu?Engine tuseme ni laki 8 gearbox laki 4 vioo vyote 250000,milango yote 300,000 taa zote 150,000 siti zote laki 2 sitayari imefika milioni mbili?Hio bei ni bei ya spea bwana so usilete hoja isokuwa na miguu
 
Wewe ni mpumbavu, kuna engine ya gari mpya ya laki 8? Hovyo kabisa!
 
Back
Top Bottom