edger jairos
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 335
- 71
Duuh[emoji30]Chukua laki tano mkuu
Ukijua thamani ya spea na ujue thamani ya gar.hatupimi uzur wa kitu kweny thamani au fashion.ukimaliza kunywa soda kwenye kopo ukatupa wengin wanaokota .we are .not equalWatanzania ufike wakati tujifunze kukubaliana kuwa kitu hiki kimeisha, kimemaliza thamani yake kikiwa mkononi mwangu. Kisha tukijua hivyo hili tangazo lingekuwa hivi:-
Spea za gari zinauzwa, ukinunua gari hii utapata spea kama vile .....,.....n.k
Lakini kudanganya watu mara injini mpya mara nini ni dhambi. Hivi bei ya injini mpya hata ya bajaji unaweza kuipata kwa million 3.5?
ila hapo kwenye engine mpya!Ukijua thamani ya spea na ujue thamani ya gar.hatupimi uzur wa kitu kweny thamani au fashion.ukimaliza kunywa soda kwenye kopo ukatupa wengin wanaokota .we are .not equal
Mtazamo tu kwani hio bei si ni sawa na bei ya spea tu?Engine tuseme ni laki 8 gearbox laki 4 vioo vyote 250000,milango yote 300,000 taa zote 150,000 siti zote laki 2 sitayari imefika milioni mbili?Hio bei ni bei ya spea bwana so usilete hoja isokuwa na miguuWatanzania ufike wakati tujifunze kukubaliana kuwa kitu hiki kimeisha, kimemaliza thamani yake kikiwa mkononi mwangu. Kisha tukijua hivyo hili tangazo lingekuwa hivi:-
Spea za gari zinauzwa, ukinunua gari hii utapata spea kama vile .....,.....n.k
Lakini kudanganya watu mara injini mpya mara nini ni dhambi. Hivi bei ya injini mpya hata ya bajaji unaweza kuipata kwa million 3.5?
Wewe ni mpumbavu, kuna engine ya gari mpya ya laki 8? Hovyo kabisa!Mtazamo tu kwani hio bei si ni sawa na bei ya spea tu?Engine tuseme ni laki 8 gearbox laki 4 vioo vyote 250000,milango yote 300,000 taa zote 150,000 siti zote laki 2 sitayari imefika milioni mbili?Hio bei ni bei ya spea bwana so usilete hoja isokuwa na miguu