Kila napoendesha gari kwa wastani wa kilometa 10 hadi 15 au engine inapopata moto taa ya engine hua inawaka, nikipaki gari na kuzima kwa muda engine ikapoa then taa ya engine hua inazima hadi gari inapotembea tena kwa muda fulani na engine ikapata moto, je tatizo laweza kua nini? aina ya gari mark 2 grande 110