Hii muvi nakumbuka nilichukia PC nipo chumbani alone Nika connect kwenye sabufa....
Hii muvi zile sound track kwenye bufa na jinsi SAM RAIM alivyo Itendea Hali nkapata mshituko😊🤓
Gafla nikajiambia am 4 real unatizama picha la KICHAWI la kutisha ndipo nikaendelea....🤓🤓