L lifelines Member Joined Dec 16, 2009 Posts 51 Reaction score 0 Jan 1, 2010 #1 MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine-
Sugar wa Ukweli JF-Expert Member Joined Jun 25, 2009 Posts 373 Reaction score 38 Jan 1, 2010 #2 lifelines said: MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine- Click to expand... Nafikiri picha ya gari na Ado meter reading zingewekwa ingekuwa vizuri zaidi!!!
lifelines said: MARK II in good condition low mileage for Sale for 6,000,000 Shillings only.4 S Engine- Click to expand... Nafikiri picha ya gari na Ado meter reading zingewekwa ingekuwa vizuri zaidi!!!
M Mwessy Member Joined Jan 20, 2009 Posts 14 Reaction score 0 Jan 1, 2010 #3 bado kabisa hujaeleza kitu. Ni ya mwaka gani? Engine Capacity? Imetembea Km ngapi? Inatembea au just good condition?
bado kabisa hujaeleza kitu. Ni ya mwaka gani? Engine Capacity? Imetembea Km ngapi? Inatembea au just good condition?
L lifelines Member Joined Dec 16, 2009 Posts 51 Reaction score 0 Jan 3, 2010 Thread starter #4 Ahsante , Capacity 1800 , imetembea 170,000 kms, ni ya 1994. Inatembea na iko kwenye hali nzuri
Mwazange JF-Expert Member Joined Nov 16, 2007 Posts 1,056 Reaction score 82 Jan 3, 2010 #5 Haya mkuu, tuuzie mbuzi kwenye gunia tu......