Unaishi wapi? Kuna hot na cold plugs na kuna plugs mahususi kwa vipindi vyote vya hali ya hewa, jaribu kuangalia kwanza betri huenda imeisha nguvu, mwaga maji uweke mapya na kuipiga chaji au nunua mpya, ukiona bado badili plugs na kufanya service kwenye distributor na regulator.Habari wakuu nina mark ii grand gx100 ni msumari sana na ndo gari ninayotegemea ila wakati wa asubuhi inasumbua sana kuwaka waeza piga hata mara kumi yaani hadi kero.i la ikishaawaka siku nzima ukigusa ni jino moja tu.
naomba ushauri wenu wa kitaalamu.
Naishi Lushoto ila mwanzo ilikuwa poa tu.Unaishi wapi? Kuna hot na cold plugs na kuna plugs mahususi kwa vipindi vyote vya hali ya hewa, jaribu kuangalia kwanza betri huenda imeisha nguvu, mwaga maji uweke mapya na kuipiga chaji au nunua mpya, ukiona bado badili plugs na kufanya service kwenye distributor na regulator.
Nashukuru kwa ushauri wako kakaUnaishi wapi? Kuna hot na cold plugs na kuna plugs mahususi kwa vipindi vyote vya hali ya hewa, jaribu kuangalia kwanza betri huenda imeisha nguvu, mwaga maji uweke mapya na kuipiga chaji au nunua mpya, ukiona bado badili plugs na kufanya service kwenye distributor na regulator.
Huko Lushoto kuna baridi, huenda ikawa moja ya sababu ya miss kwenye ignation system.Naishi Lushoto ila mwanzo ilikuwa poa tu.
Tafuta gari aina nyingine ambayo itakua rahisi kuiuza na kuihudumia. Achana na hilo puto.Off Topic, Mkuu niko kwenye dakika za mwisho kununua Mark ii Grand GX110. Ila sina input sana kuhusu experience halisi ya kumiliki hii gari, unaweza nidokeza kidogo kwenye upande wa vipuri na Ulaji wake wa mafuta.
Badilisha Thermostat au ua system yake. Hiyo inatumika nchi za baridi sana. Itakusumbua sana. Ina engine ya Vvti/1G?Mkui ikishaawaka asubuhi baadae ukipiga ni jino koja hata kama uliizima masaa sita inasumbua asubuhi tu.
Ahsante kwa ushauri mkuuGx 110 sio nzuri sana kwenye body ni tofauti na gx 100
Japo gx 100 nayo inakunywa sana mafuta kuliko hiyo 110.
nami mark 2 yangu ina ugonjwa huo nishapeleka kwa mafundi ila wakaniharibia zaidi kwa sasa nimeizoea tu, plug na kelele zingine wanazosema wadau nimeisha badili ila bado kuiwasha kwa raha hua ni jua likiwakaHabari wakuu nina mark ii grand gx100 ni msumari sana na ndo gari ninayotegemea ila wakati wa asubuhi inasumbua sana kuwaka waeza piga hata mara kumi yaani hadi kero.i la ikishaawaka siku nzima ukigusa ni jino moja tu.
naomba ushauri wenu wa kitaalamu.