ACHA UONGO .mnaharibu sana magari ya watu na jee unafaham kazi ya thermoster kwenye gari?? na unafaham madhara yanayoweza letwa na kutolewa kwake?? gari za kisasa hazitaki magumashi mkuu wala ujanja ujanja kuna gari nyingine ukitoa tuu thermoster bumeiloga gia haibadili ipasavyo na ulaji wa mafuta huwa unaongezeka sanaaaBadilisha Thermostat au ua system yake. Hiyo inatumika nchi za baridi sana. Itakusumbua sana. Ina engine ya Vvti/1G?
uko wapi mkuu kama upo dar tutafutane.mambo mengine ni rahisi sana but mnacomplicatenami mark 2 yangu ina ugonjwa huo nishapeleka kwa mafundi ila wakaniharibia zaidi kwa sasa nimeizoea tu, plug na kelele zingine wanazosema wadau nimeisha badili ila bado kuiwasha kwa raha hua ni jua likiwaka
Mkui ikishaawaka asubuhi baadae ukipiga ni jino koja hata kama uliizima masaa sita inasumbua asubuhi tu.