Moderator, hawa watu wengine hawako serious! wanatumia muda wetu unnecessarily!! Huwezi kuweka such unsatisfactory information, inadivert attention za watu wakati hakuna kitu cha maana ameandika. Hebu kuweni makini na mambo yenu mnayofanya. Weka taarifa zinazojitosheleza hapa, vinginevyo tunakujaji kuwa haupo serious!!