Mark ii-ipo ktk hali nzuri----------bei 4.95 mill bila punguzo

Asante kwa taarifa, ila tangazo lako halifanani kabisa na tangazo la kuuza gari.
 
Kuna vitu vya msingi unapouza nyumba,gari nk hasa online na hujazingatia hata moja.
 
eti kumbe umeona czar? huyu jamaa hajui hata jinsi ya kutoa taaarifa ya matangazo
Kuna vitu vya msingi unapouza nyumba,gari nk hasa online na hujazingatia hata moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…