Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 428264
Mwenye kuijua hii gari mark x Zio hasa durability
binafsi siipendi sura ya hii gari lakin mashine itakuwa 4gr fe kama mark x zingineView attachment 428264
Mwenye kuijua hii gari mark x Zio hasa durability
Mbona gari yenyewe sura+shape mbaya tu mkuu.Sorry lknNilitaka kuivuta hii gari.. Total cost mpaka dar es salaam ilikuja kama mil 16.
Ina Cc zaidi ya 4000 halafu iko chini sana.
Niliwauliza wadau kuhusu kuipandisha juu wakaniambia ntaiharibu tu.. Bongo bado sana hizo mishe. Watu wanapandisha juu kisanii.
At the end of the day nkapiga chini. But hii gari ilinikosesha usingizi.
Gari hii haina CC zaidi ya 4000 bali inakuja na option mbili ya Kwanza ni 2.4 L 2AZ-FE I4 na ya pili ni 3.5 L 2GR-FE V6Nilitaka kuivuta hii gari.. Total cost mpaka dar es salaam ilikuja kama mil 16.