Mark x zio

Fmruma

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2013
Posts
498
Reaction score
783

Mwenye kuijua hii gari mark x Zio hasa durability
 
Daah naona kimya wadau..[emoji849]
 
2018 nami nauliza mwenye uzoefu na hii gari atupe kidogo, nimeiona kwa ndani imenivutia sasa nataka kujua vitu vingine kuihusu.
 
Nilitaka kuivuta hii gari.. Total cost mpaka dar es salaam ilikuja kama mil 16.

Ina Cc zaidi ya 4000 halafu iko chini sana.

Niliwauliza wadau kuhusu kuipandisha juu wakaniambia ntaiharibu tu.. Bongo bado sana hizo mishe. Watu wanapandisha juu kisanii.

At the end of the day nkapiga chini. But hii gari ilinikosesha usingizi.
 
Mkuu jiandae kisaikolojia, kwanza utalipa sana fain, pili gari lina njaa sana hilo. Ila ni zuri na imara pia halina mshindani barabarani, kitu 240km/hr
 
Mbona gari yenyewe sura+shape mbaya tu mkuu.Sorry lkn
 
Gari hii haina CC zaidi ya 4000 bali inakuja na option mbili ya Kwanza ni 2.4 L 2AZ-FE I4 na ya pili ni 3.5 L 2GR-FE V6

Kwahio kwenye Hizo Gari hakuna yenye zaidi ya cc 3500 na Gari hizi zimeanza kutengenezwa kuanzia mwaka 2007 mpaka 2013 na gearbox yake ni CVT with 6 Speed Automatic Gears
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…