mark Zuckerberg apata pigo baada ya kuzima kwa Facebook, WhatsApp na Instagram

Kasomi

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2014
Posts
11,030
Reaction score
20,391
Baada ya kukosekana kwa saa kadhaa kwa mitandao ya Facebook, WhatsApp, messanger na Instagram, mkurugenzi Mkuu wa Facebook ambayo ndio inamiliki mitandao tajwa
Bwana mark Zuckerberg amepoteza zaidi ya Tshs. Trilioni 13.8 na kupelekea kushuka mpaka nafasi ya 6 ya mtu tajiri duniani akitoka nafasi ya 5 kwenye orodha ya Watu matajiri zaidi duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…