Tetesi: Mark Zuckerberg mbioni kuifunga Facebook

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,743
Reaction score
25,564


Akizungumza na vyombo vya habari mwanzilishi wa mtandao huo Mark Zuckerberg,, amewakosoa vikali wale ambao wanatoa wito kampuni hiyo ifungwe, akiongeza kuwa wanafanya kila wawezalo kukabiliana na changamoto zinazoibuka.
"Sidhani kama suluhisho ni kuifunga kampuni kwasababu tunashughulikia hili tayari na ni changamoto za kibiashara", amesema Zuckberg.
Karibia watumiaji 150,000 walifunguliwa akaunti zao baada ya kubainika kuwa hawakukiuka sheria kipindi hicho.
Facebook imesema ripoti hiyo imeangazia masuala hayo ili kuendesha huduma zake kwa njia ya uwazi na uwajibikaji ili kuufanya mtandao huo kuwa salama kwa wateja wake.
 
mbona heading na content ni vitu viwili tofauti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…