Market price ya mafuta ya alizeti Dar (Jumla na rejareja)

Joined
Jul 27, 2016
Posts
27
Reaction score
17
Salaam wadau,

Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"

Ahsante.
 
Salaam wadau,

Naomba msaada wa kufahamishwa market price ya mafuta ya alizeti kwa Dar es salaam katika ujao huu apa "0.5 Lt, 1 Lt, 3 Lts, 5 Lts, 10Lts & 20Lts"

Ahsante.
Ukiwa unaweka tangazo la biashara hakikisha umelisoma vizuli kabla hujatuma hasa tangazo likiwa fupi kama lako, naona cm yako imeshindwa kuandi hivi ½ lita.

Embu fafanua unataka kuuuza au kununua?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…