kwa uzoefu wangu, ni sector ambayo mwajiri ni rahisi sana kukupima, kuliko uhasibu au ugavi, ni sector yenye lawama sana, kwenye sehemu zakazi, maana ukilegea na kampuni inaanguka, ukiwa katika sector hii na ukawahi kufanya kazi ya kutafuta wateja, basi wewe utawaheshimu sana wateja, na hutokuwa na lugha chafu,maana unajua ugumu wa kuwapata hao wateja.