Marketing team ya Serengeti na Kilimanjaro imelala?

Linguistic

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2021
Posts
3,669
Reaction score
8,268
Wakuu Habari Ya Machweo,
Ila Kuna Makampuni sjui hayajui Kufanya Marketing. Yaani mpaka sasa sio Coca Cola wala Watu SBL Wanaomiliki Bia Ya Serengeti au TBL wanaomiliki Bia ya Kilimanjaro wamepost hii picha kwenye Mitandao ya kijamii For Promo issue... Au Mm Ndio Sjui Mambo Ya Marketing Wakuu [emoji849][emoji849]
 
Copyright wenye picha wameruhusu picha itumiwe kwa matangazo au unawatafutia lawsuits??
Hao siyo kina AmberRutty au Giggymoney, ukitumia picha zao ovyo, jiandae kulipa mabilioni.

Everyday is Saturday............................... 😎
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] acha Dharau Mkuu.... Wangeomba Permission Tu Kwake. Mbona Tanapa Wamepost Kwenye website Yao more than 5days ago Mkuu
 
Unatakq walipe bilions of shillings Eeh??apo io serenget sio case ,case ni ao binadamu
 
Hacheni kuandika vitu kama mpo mabwenini,sio kila mtu anajua hao ni nani.Tuambie kwanza ni akina nani ili tuuelewe uzi wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…