Nicky nicky
Senior Member
- Aug 20, 2011
- 106
- 9
Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati ya kozi hizo.
Marketing kama una ma-confidence ya kutosha,public speaking and the like go ahead,
ila accounting is the best,it's everywhere,kila organization duniani needs accountants..
Eleza kwanza umehitimu fani ipi ndiposa ushauriwe. Upande wa accounting wala usiguse maana kinachotambuliwa ni CPA na siyo MBA Accounting; kama umegitimu degree ya Uhasibu hiyo Master inaweza kukusaidia kufaulu mitihani ya CPA
Is holder of say MSc Finance & Accounting an accountant?
Is holder of say MSc Finance & Accounting an accountant?
Is holder of say MSc Finance & Accounting an accountant?
Ni kipi kati ya marketing au account kina mvuto zaidi katika soko la ajira la sasa na hata kujiajili hasa ukizingatia mtu anayesoma Masters in Busness Administration na kutaka kufanya option kati ya kozi hizo.
Is holder of say MSc Finance & Accounting an accountant?
Chezea kidhungu... muandike ninyi tu yeah wat globalization about you were go come from the English land.... Haaaa haaa haaaa!!Is holder of say MSc Finance & Accounting an accountant?