Marking scheme ya mtihani kidato cha Nne 2011

Mmasi

Senior Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
164
Reaction score
15
Mambo ni vije wadau! Mi ni mefungua hii thread ili tutengeneze making scheme ya mtihani wa kidato cha nne 2011 kwasababu wanaJF ni Great Thinkers.Hivyo ukikumbuka swali lilete hapa jamvini ili 2 lisolve ninawaomba tulete maswali ya kila somo even Mathematics.Pia kutakuwa na Masahihisho mwishoni mwa mwezi wa pili 2012: Kwa wale ambao hawakuwa watahiniwa mwaka huo watashiriki kwa kusolve maswali yatakayo letwa.I WISH WE "LL CONTRIBUTE MUCH.
 
QS of Civics >1. What is importances of work. 2.The cause of Road accident in Tanzania.
 
question 2, ulevi, uzembe, uchakavu wa vyombo vya usafiri, madereva kutokuwa na ujuzi wa kutosha, barabara mbovu na chakavu,,,,, na mwishhoooooooooo... Mmmmhhhhhhhhhhh ,,,,,,,,,,,,,,RUSHWAAAAAAA,,,,,,,,
 
Ili ilete maana lazma uende somo moja moja. Kuna idadi ya masomo zaidi ya kumi. Yote uyaweke sehemu moja. Utapata kitu cha ajabu sana. Njia ya kupata maswali, kuwe na mtu mmoja anatuma mswali yote kwa wakati mmoja sio kila mtu anatuma swali. Maswali yatajirudia sana.
 
Umekaa ukawaza ukaona hii nayo ni thread yakuanzisha!..nalog off..
 
question 2, ulevi, uzembe, uchakavu wa vyombo vya usafiri, madereva kutokuwa na ujuzi wa kutosha, barabara mbovu na chakavu,,,,, na mwishhoooooooooo... Mmmmhhhhhhhhhhh ,,,,,,,,,,,,,,RUSHWAAAAAAA,,,,,,,,

umesaau Ngono zembe.
 
Kweli dunia ina mambo,sijui kama itawezekana.
 
Kiswahili: 1.nini maana ya soga? Tunga soga fupi?
 

so unapendelea 2open new thread or wat u mean!
 
Kiswahili: 1.nini maana ya soga? Tunga soga fupi?
 
hakuna thread itakayoboa kama hii..trust me!!! Nani anapenda kujibu maswali hapa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…