Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu mi pamoja na ukilaza wangu nahisi bado ningekwepo maana nilipata nyingi nikataka kuandamana washkaji wakasema potezea tu broTungesema mtiani wa mwisho ila marks huwa haziwekwagi wazi sasa tujiulize kwa ule wa mkoa tu, nani angekuwa hai?
Wakuu mi kusema la ukweli ningeshaondoka kitambo sana
Tungesema mtiani wa mwisho ila marks huwa haziwekwagi wazi sasa tujiulize kwa ule wa mkoa tu, nani angekuwa hai?
Wakuu mi kusema la ukweli ningeshaondoka kitambo sana
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]Mimi mngeshanizika zamani sana Mkuu kwani nilikuwa nikijitutumua sana basi lazima nitakoromije bashite tu katika Mathematics subject.