Marlaw afunga ndoa na Besta

Kivumah

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,427
Reaction score
1,054
....Msanii wa Bongo fleva, Marlaw, jumamosi iliyopita alimuoa msanii mwenzake, Besta. kila la heri ktk maisha mapya ya ndoa



....NDANI YA JUMBA AKA SUTI KALI!


....KIDOLE CHA MARLAW KWA SASA KIKO BUSY...PETE YA NDOA....!


 
Ishu hii ilifanyikia Arusha, na ilikuwa nzuri sana!~

Bado nawashangaa waandaaji ambao walikuwa wachache sana, lakini walifanya kitu kilichoenda shule, na kwa hakika kitabakia kwenye kumbukumbu za wengi kwa muda mwingi ujao!

Tunawatakia kila la heri katika maisha yao mapya!
 
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?

Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.
 
Mungu awatangulie maishani..
 
safi sana mtapata familia iliyokatika misingi alali ambayo mungu anataka
 
MUNGUWANGU awape maisha ya uaminifu wa kweli
 
Kuna mtu mmoja humu JF namlaumu daima kwa kunibania huyu totozi back then.....poa tu
 
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?

Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.
Mkuu hebu fafanua hapo kidogo!
 
Hongereni sana maharusi
Mungu awatangulia muwe mfano kwa maceleb wenzenu
 
Hongera sana Marlaw na Besta, Mungu awabariki na mipango yenu, ngoja tuwapishe njia
 
Samahani sana Wajamani.

Mie huyu jamaa huwa namkumbuka kwa wimbo huu tu hapa chini.....

Sidhani kama ntakuwa FAN wake tena..............

Nina imani WATAMCHAKACHUA na yeye ili awajue CCM ni nini......

 
Last edited by a moderator:
Mhhhh, Marlow Besta anafugika kweli?

Naomba Mungu awajalie maisha mema yasio na vikwazo manake kuoana wote masupastaa bongo iahitaji moyo na pesa isiyokauka mfukoni.

Mmeshaanza majungu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…