Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM.
China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri.
Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group.
China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila aina utakayo ukitaka robot la ulinzi kama polisi lipo na ili CCM wanaweza kuya nunua ili kama murilo hakose kazi sasa.
Wana marobot ambayo DC charamira hakasome ila lenyewe linatumia spika za majizo sio konyagi.
Kina Lukas Mwashambwa na nduguye tlaahtlaah watakata! Maana Hilo liko wazi watakosa kazi kabisa,maana kihesabu wataokoa hela Nyingi,kofia,t-shirt,viatu,nauli,misosi nk!Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM.
China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri.
Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group.
China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila aina utakayo ukitaka robot la ulinzi kama polisi lipo na ili CCM wanaweza kuya nunua ili kama murilo hakose kazi sasa.
Wana marobot ambayo DC charamira hakasome ila lenyewe linatumia spika za majizo sio konyagi.
Jifunze kuandika ili watu waelewe unachotaka kuwaelezea.Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM.
China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri.
Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group.
China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila aina utakayo ukitaka robot la ulinzi kama polisi lipo na ili CCM wanaweza kuya nunua ili kama murilo hakose kazi sasa.
Wana marobot ambayo DC charamira hakasome ila lenyewe linatumia spika za majizo sio konyagi.
Pengine tunajua ukweli kuliko wewe? Maandishi yako yanaonyesha upeo wako wa kujua ukweli? Ni maswali ninayotafakari.Hivi kwa nini mkielezwa ukweli mnaongea hayo maneno
Hawataki watu wapate haki wanataka amaniHivi kwa nini mkielezwa ukweli mnaongea hayo maneno
Tunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM.
China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri.
Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group.
China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila aina utakayo ukitaka robot la ulinzi kama polisi lipo na ili CCM wanaweza kuya nunua ili kama murilo hakose kazi sasa.
Wana marobot ambayo DC charamira hakasome ila lenyewe linatumia spika za majizo sio konyagi.
Tatizo yenyewe hayana utu,hisia, maadili kama binadamu,hivyo yanaweza kuwa janga.Serikali iyalete tu huku na kuanza kuyatumia kwenye masuala ya ulinzi, labda polisi akili ndio zitawakaa sawa, na wataanza kuwa upande wa wananchi
AaaaaahaaaaaTunapoelekea hata lucas wa JF unaweza kupoteza kazi yako ya kusifia CCM.
China wametengeneza marobot kama mbwa mfano wa lucas,mwijaku na baba levo kulinda matajiri.
Mpaka sasa dubai airport zina mbwa marobot ambao wanaweza kujua wewe umeleft group.
China kwa sasa ndio kinala wa marobot wakila aina utakayo ukitaka robot la ulinzi kama polisi lipo na ili CCM wanaweza kuya nunua ili kama murilo hakose kazi sasa.
Wana marobot ambayo DC charamira hakasome ila lenyewe linatumia spika za majizo sio konyagi.
Kwani hawa polisi wetu wana utu!?Tatizo yenyewe hayana utu,hisia, maadili kama binadamu,hivyo yanaweza kuwa janga.
Mavi yametoka wapi hapo, niko na wewe 💯 sijui kama hukunielewaNakukumbusha uwe unaweka mavi yako kwenye sufuria sijui kama unasoma ulimwengu ulipo au ukisafiri sana wewe mwisho simiyu