Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha.
Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa alikuwa anaweka kambani kabisa
Chonde chonde viongozi mnaodili na usajili mechi ya marudiano na Yanga mtakosa visingizio, wekeni huyu mtu alete furaha, kiungo yeye kiungo Fernandez, kulia na kushoto Mpanzu na Kibbu, Ateba anafurahi tu,
Yanga hawajatuzidi kimpira wametuzidi sana kwenye mbinu nje ya uwanja na mbinu hizo wameanza kutuzidi sio leo tangu enzi za Tabu Mangara akaja mzee Matunda.
Sajilini Tchakei mtakuja kunishukuru