Leonel Ateba Mbinda
JF-Expert Member
- Feb 20, 2023
- 644
- 2,695
Hapana atatoa mumeo.Iyo pesa ya kutaka kusajili kila mchezaji anatoa baba yako?
tchakei hachezi namba moja na mpenzu na wewe kha? Mpanzu kushoto,tchakei kulia. Asante.
Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha.
Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa alikuwa anaweka kambani kabisa
Chonde chonde viongozi mnaodili na usajili mechi ya marudiano na Yanga mtakosa visingizio, wekeni huyu mtu alete furaha, kiungo yeye kiungo Fernandez, kulia na kushoto Mpanzu na Kibbu, Ateba anafurahi tu,
Yanga hawajatuzidi kimpira wametuzidi sana kwenye mbinu nje ya uwanja na mbinu hizo wameanza kutuzidi sio leo tangu enzi za Tabu Mangara akaja mzee Matunda.
Sajilini Tchakei mtakuja kunishukuru
hawezi kwenda simba hiyo ni mali ya yangaNawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha.
Huyu jana angekuwa ndio sehemu ya Simba zile faulo alizokuwa akipiga hovyo Ahoua jamaa alikuwa anaweka kambani kabisa
Chonde chonde viongozi mnaodili na usajili mechi ya marudiano na Yanga mtakosa visingizio, wekeni huyu mtu alete furaha, kiungo yeye kiungo Fernandez, kulia na kushoto Mpanzu na Kibbu, Ateba anafurahi tu,
Yanga hawajatuzidi kimpira wametuzidi sana kwenye mbinu nje ya uwanja na mbinu hizo wameanza kutuzidi sio leo tangu enzi za Tabu Mangara akaja mzee Matunda.
Sajilini Tchakei mtakuja kunishukuru
Tangu zamani sana scout wa mwigulu(Singida ) yuko vizuri ku sport wachezajiHakuna mchezaji ligi yetu anaitwa MAROON Tchakei
SBS ina mchezaji anaitwa Marouf Tchakei
Marouf Tchakei ni bonge moja la #10, ana kasi, anajua kuficha mpira (possession skills), anajua mipira iliyokufa faulo&kona
Simba walishaongea mpaka na agent wake msimu uliopita ili wamsajili lakini kizingiti kikuu ni Mwigulu
Mwigulu aliweka ngumu dogo aende Simba kwasbb ya mahaba yake kwa Uto,akaona Simba wataenda kunufaika pale japo Simba walikuwa tayari kufika dau la usajili
Ndipo Simba wakamfata Ahoua, japo kajamaa ni cha kawaida sana hafiki hata nusu ya quality aliyonayo Tchakei
SBS pale kuna talent za maana sana sana kina Arthur Bada, Elvis Rupia, Anthony Tra Bi Tra, kulikuwa na Benjamin Tanim beki pekee aliyekuwa anaitwa National team Nigeria kutokea Africa
Scout anaefanya kazi na SBS nampa salute sana
Hizi ni stori za vijiweni, kwani Simba haijasajili mchezaji kutoka kwenye timu inayoongozwa na Mwigulu? Kama angekuwa na lengo la kuwakomoa Simba basi kusingewahi kutokea biashara kati ya Simba na Singida. Acha stori za vijiweni, ukiona hivyo basi mchezaji alikuwa hauzwi. Huyo Kagoma mnayetamba naye, mlitolea mawenzi market fc?Hakuna mchezaji ligi yetu anaitwa MAROON Tchakei
SBS ina mchezaji anaitwa Marouf Tchakei
Marouf Tchakei ni bonge moja la #10, ana kasi, anajua kuficha mpira (possession skills), anajua mipira iliyokufa faulo&kona
Simba walishaongea mpaka na agent wake msimu uliopita ili wamsajili lakini kizingiti kikuu ni Mwigulu
Mwigulu aliweka ngumu dogo aende Simba kwasbb ya mahaba yake kwa Uto,akaona Simba wataenda kunufaika pale japo Simba walikuwa tayari kufika dau la usajili
Ndipo Simba wakamfata Ahoua, japo kajamaa ni cha kawaida sana hafiki hata nusu ya quality aliyonayo Tchakei
SBS pale kuna talent za maana sana sana kina Arthur Bada, Elvis Rupia, Anthony Tra Bi Tra, kulikuwa na Benjamin Tanim beki pekee aliyekuwa anaitwa National team Nigeria kutokea Africa
Scout anaefanya kazi na SBS nampa salute sana
Sasa kama hawajawazidi kimpira kwa nini unapendekeza suluhisho la kimpira?Nawashauri sana viongozi wangu huyu Maroon Tchakei ni fundi hasa zaidi ya Ahoua sijui Ngoma sijui Okajepha.