Marouane Fellaini astaafu soka

Mwanadiplomasia Mahiri

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2019
Posts
491
Reaction score
1,907
Kiungo mkongwe, Marouane Fellaini (Mkubwa Fella) amestaafu soka la ushindi akiwa na miaka 36.

Fellaini ambaye ni Mbelgiji amewahi kukipiga vilabu kadhaa ikiwemo Everton na Man Utd kabla kutimkia Uchina.

Ameshinda FA Cup pamoja na Europa League mwaka 2017 akiwa na Man Utd.

Mwaka 2018 alishika nafasi ya tatu akiwa na Ubelgiji katika Fainali za Kombe la Dunia pale Urusi.

Mapumziko mema ya kustaafu.
 
oh all the best mbeleni huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…