Marriage Is a Hypocritical Institution Part 2, Kauli sifuti ng'o

lara 1

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2012
Posts
15,700
Reaction score
29,164
Anueonghaseyoooooooooooooooooooooooooo!

Kutokana na watu kusafiria nyota yangu any allegations against me nazijibu kwa thread! Siendi kwenye thread ya mtu maana nakujazia trafic, unapata umaarufu, saivi nakula jasho langu mwenyewe! Mtasnisamehe! Ruksa kuniita Lara 1, jibu nitakupa ila kwa nakijibu kwa thread yangu!

Okaya kwasababu huu mjadala bado unauza tuendelee nao mpaka utakapo acha kuuza.

SIFUTI KAULI MARRIAGE IS A HYPOCRITICAL INSTITUTION 101. Kwa hoja zifuatazo!

Ni institution ya kibinadamu automatically. Ule uana damu hauwezi katu kutenganishwa na UNAFIKI! Ni jadi tu ya wanadamu hio katika hood way kama kuwa senstivie, kuwa polite, au bad way kama kuchachua au kutaka mwenzio asikuzidi! EITHER WAY UNAFIKI NI UNAFIKI UWE MZURI AU MBAYA!

Ndoa ni part ya jamii TUNAMOISHI KILA SIKU, is not as if wanandoa mnakaa MARS afu wengineo waseja, single, mabachela wanakaa pluto useme huwezi kujua ya ndoani! Thbutuuuuuuu! Hao hao wanandoa ni watu ndugu, jamaa, marafiki, majirani unaiteract nao, wanatoa testimony, wanahanyaa hanyaa vikinuka humo humo kwenye jamii! So tunayajua uzuuuuuriiiiii!

(Kipengele hiki kimefutwa kwa maombi ya wengi kuwa kiliwakwaza, kuwanyima uhuru wa ku comment! na kuingilia mipaka ya kidini, na kuleta hisi za blasphemmy na Kwa kuweka hiki kipengele Nakuungamia Mungu wangu na nanyi ndugu zangu nilikosa mnoo, nilikosa mimi kurefer kule, nilikosa sanaa! Na nimefuta naomba mnisamehe na Mungu anisamehe pia.) Kishatoka tuendelee na mada!

Increased divorce rates, marriage councelling, maombi na mifungo, vikao vya ukoo, kutimka kwa mapatna, kuzaa na wanawake tofauti tofauti wakati mke unae ndani inaonesha jinsi gani HALI SI SHWARI na upepo unapoolekea siko! Ikiwa mambo ni SWARIIIIIIII ndani ya hio taasis mbona matemdo tuyaonayo kwenye jamii ni CONTRARY na ushswariii? MBA Married But Available mmeongezeka sanaaa siku hizi! Hadi mtu anaamua makusudikally kuzaa na mume wa mtu, na mume anakubali pasipo kushurutishwa na mtu yeyote! HYPOCRARICY KWA BAADHI YENU IMEANZA KUGEUKA CONSPIRACY! Kuzaa nje makusudi ni CONSPIRACY kabisaa hio! Kuiita HYPOCRICY NI UNDERSTATEMENT!

The bi.tch KARMA nae pia ni source ya hii HYPOCRICY! Hamna mtu ana oa au olewa ili aachike, no! I am the special one theory ambapo kila mtu anajiona special! Sasa KARMA ndo inaletaga mtafaruku na mitafutano kibaoo na ni moja ya michimbuko kuu la HYPOCRISY pale tu Mother KARMA anaamua kumsulubisha mmoja, na kumzidishia mmoja! Usiombe mwanaume ndo msalaba ukuhusu! Hulalaaaa! Plus KARMA ndo inasababisha watu expectations zao while they marry zisitimie kwa makusudi, au ziyumbe yumbe na kusababisha mwenye unmet expectations akumbwe na kigugumizi cha WHETHER TO REMAIN A LOOSER AND KEEP TRYING HARD OR WALK AWAY! Hapa watoto wa mjini sifa yenu kubwa ni KI WALK AWAY!

Siple equation! Ndoa = binadamu +binadamu, binadamu = unafiki (moja ya sifa wanyama wengine hawana) Hence UNAFIKI +UNAFIKI =??????????? Mi chichemiii!

Unafiki unaweza kukabiliwa kwa Kuu ignore, ku u confront, ku walk away, kujicomvise hauexist japo kona ya mwisho ya moyoni inajua upo, kuuzoea tu na kuufanya part ya maisha yako, kumuomba Mungu, ETC japo hivo voote haviondoi maina point kuwa UPO!

Na challange yetu wana wa adamu ni HOW BOLD ARE YOU? Je utaruhusu unafiki wa mwenzio ukutafunee nafsi till u walk away from 10 yrs of ya life? Je are you strong enough to turn a blind eye? Are you weak enough to give up everything for just few mistakes? Are you fast enough to change your fate? Are you powerful enough to influence conduct za mtu mwenye oblongata yake? HII SASA INATEGEMEA NTU NTU!

Viongozi wa dini mtanisamehe, na pia nitatubu binafsi kuitoa hii hoja kwa makwazo nitayo wapa! BUT IT IS WHAT IT IS!

Kubalini tu kuna baadhi yenu WMEJITAHIDI MNOO KUIPAKA MATOPE HII TAASISI KWA MATENDO YAO yasiyo ya kiungwana na imelipa! Hahaaa! Kuna mtu ofisin nilimwambia ujue unaipaka matope taasis akanijibu NANI MSAFI ASIE IPAKA MATOPE? Hahaaa! 0 remorse! Nikamwambia flani, akanijibu hujamjua tu, kachungulie sim ya flani! Hahahaaa! ONE MAN CAN MAKE A DIFFRENCE TRY TO BE THAT ONE MAN! Mmoja moja MAY BE, and i mean MAY BE mnaweza kurudisha lost glory! Ila hivi sasa aaaaah! People dnt even try wamekubali tu ku accomodate hypocrisy kama part ya package!

Ni kazi chafu ila ilinilazimu kuifanya! Leo ukijisikia kutukana tukanaaaa mpaka roho yako itakate isiingie Iddi na kinyongo! Afterall hio ndo silaha ya mnyonge! Ubishani wa hoja nitajibi!

THE FEAST TO KILL THE MESSENGER MAY BEGIN! Hahaaaaa!
 
lara1wera wera!!
Usifute habana kwani wewe hayo nimawazo yako na upo sahihi kutokana na utazamavyo wewe na uonanvyo, hapa hakuna kufuta kauli teh teh yaani hapa ni kama UKAWA mpka kielewewe ati!!
 
Last edited by a moderator:
Good Lala 1 kanyagia hapo hapo.... nasubiri muendelezo
 
Last edited by a moderator:
hhmmmmm... struggle to make a point, that isnt a point at all

"None of us can claim to be fair and square in love - and I'm definitely not a hypocrite! Humans are built to evolve with time. It depends on the nature of the relationship you share with a person. It is there today, tomorrow it may be gone; c'est la vie."

Randeep Hooda
 
Huwaga nikisoma thredi zako bestito unaniacha kizungumkuti sijui kwanini haya ona sasa na hii inimepaste:

Hypocrisy kwenye hii institution haijaanza kwenu wala haishii kwenu, IPO DOCUMENTED MPAKA KWENYE HISTORICAL BOOKS KAMA BIBLE! Mfalme Daudi alikuwana ndoa zake, ila alimpanga jeshini death row yule mjeda ili ale vya mwenzie. Ofcourse alitubu na nini. Delila nae alifanya hypocrisy ya kummaliza Samson. Abraham na mjakazi wake nao waliteleza. Adam na hawa nao? Tena walikuwa paradiso mtakuwa nyie? Hahaaa! No offence intended nawavuta tu sharubu! Hosea na Gomar.? Hypocricy ilivozidi ikabdi mtu mzima Mose aruhusiwe kutoa tamko la TALKA! Wako wanandoa wengi mnooo nitajaza column hiii! Scripture, verses zipo mtu akihitaji! THIS PROVES THINGS WERE NEVER SMOOTH AS YOU IMPLY TO BEGIN WITH! Hahaaaaa!
 
we mkali, hadi signature umeibadili na kuikandia ndoa?

by the way, tatizo ni ndoa au wanandoa?

tatizo ni wanandoa hawajui ndoa,halafu kutokujua kule kukileta some problems mjinga mmoja anakuja ku acuse ndoa ilhali anajua sheria na principles za ndoa ni nini,huu ni uwezo mdogo wa kufikiri,kutafuta support ya rootescape ya marriage,ukiwa umezoea maisha ya been alone its real difficult to see two people togetherness for life as morals and principles are concerned
 
Huna jipya wewe ni yaleyale hakuna mtu anayetaka umaarufu kwako mimi ni maarufu kwa mke wangu hilo tu wewe huwezi kubadili mpango wa Mungu aliyeona ndoa ni kitu muhimu na wanandoa wanajua hilo.

Eti nini nasafiria nyota yako? nyota ya umalaya na ukahaba,kichwa ngumu ni safirie mimi ng`wana ong`wa kulwa!!!!!!! tehetehe

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.
 
Huna jipya wewe ni yaleyale hakuna mtu anayetaka umaarufu kwako mimi ni maarufu kwa mke wangu hilo tu wewe huwezi kubadili mpango wa Mungu aliyeona ndoa ni kitu muhimu na wanandoa wanajua hilo.

Ndoa na iheshimiwe na watu wote.

anajua NDOA ni nini??
 

CALM DOWN...
Kwa hiyo ukweli usisemwe?maisha si kuolewa au kuoa tu.. ndoa ina tabia ya unafiki kiasili
 

Namhurumia aliyekwenda kuomba msaada kwa huyu asiye na chembe ya hekima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…