Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
mhmm! baada ya kumsadia wewe sasa wapongeza kweli tutafika jamani?
hhmmmmm... struggle to make a point, that isnt a point at all
"None of us can claim to be fair and square in love - and I'm definitely not a hypocrite! Humans are built to evolve with time. It depends on the nature of the relationship you share with a person. It is there today, tomorrow it may be gone; c'est la vie."
Randeep Hooda
nimsaidie nini lara 1? kwani huyu mtoto hadi asaidiwe? she is matured, ana degree huyu mpaka cpa kapewa, keshafikia kiwango cha kupambanua baya na jema...
Mi wala sijashabikia jambo lolote.... Hoja ililetwa majuzi na mwenzetu ambaye yuko ndoani, akaeleza A to Z on what is IN, lakini lara 1 anaeleza anavyona yeye.
Ujeuri wa hovyo unamsumbua hafikiri hata wazazi wake kama wapo kwenye ndoa na wao anaona kama wanafiki sijui.
tusubiri akishaolewa maybe ataona utam na uchungu wa ndoa....
Amezoe kulalama hata vitu vya hovyo amegonga mwamba.
mhmm! baada ya kumsadia wewe sasa wapongeza kweli tutafika jamani?
sometimes stress zinasababisha mtu kukomaa kuponda jambo ili moyoni mwake apate temporary relief.
Tutambue kwamba hapa duniani kila mtu kaumbwa kivyake na ananyota yake na mipango yake aliyoipanga Mungu.
Kama ww umeumbwa kwaajili ya kustarehesha utakuwa mstareheshaji tu na utaichukia ndoa maisha yako yote hata ueleweshwe na mashehe na mapadre lakn bado utaidis ndoa kwasababu hulka yako ipo kwaajili ya kustarehesha hata kweye vitabu vya dini walikuwepo akina rahabu.
Sio kila mwanamke yupo kwaajili ya kuolewa na kuwa mke.........
nimsaidie nini lara 1? kwani huyu mtoto hadi asaidiwe? she is matured, ana degree huyu mpaka cpa kapewa, keshafikia kiwango cha kupambanua baya na jema...
Mi wala sijashabikia jambo lolote.... Hoja ililetwa majuzi na mwenzetu ambaye yuko ndoani, akaeleza A to Z on what is IN, lakini lara 1 anaeleza anavyona yeye.
tusubiri akishaolewa maybe ataona utam na uchungu wa ndoa....
Alisha kata tamaa tumaini pekee alilobakiza ni kuchuna mabuzi macho yakihobhela ndani ndiyo atajua nyau siyo mboga.
maisha yanafrustrate sana... na ukishakuwa "USED" inakua mbaya zaidi
lara1wera wera!!
Usifute habana kwani wewe hayo nimawazo yako na upo sahihi kutokana na utazamavyo wewe na uonanvyo, hapa hakuna kufuta kauli teh teh yaani hapa ni kama UKAWA mpka kielewewe ati!!
it reaches a time when you force something to happen where it cannot happen..
sidhani kuwa above 30 halafu ukawa huna mume hata wa kusingiziwa ndo iwe sababu ya kuiita ndoa such nude calls..
Ndoa na iheshimiwe, hata kama imejaa viraka..
Wazuri wanaolewa ; Manung'ayembe kama wewe wanahangaika