Marriage of the year 2011

hii mbona ni kawaida kabisa hapa kwetu Riyadh.............
 
Hata vijijini tu yanaendelea mpaka hii leo, usiende mbali dada!
 
masikini, mtoto huyu. kweli kamaliza shule huyu?
 
Nilifungua kwa haraka haraka nikifikiri ni ndoa ya Mchungaji Masanilo:=). Ah, kumbe ni hao. Hiyo kawaida yao!!!!
 
Beinjing 1995 mko wapi??? Haya ndo mambo ya kuyapigia kelele, maana hayo ndo yana uhusiano wa karibu sana na jinsia yenu.....kuliko mengine mnayoyapigia kelele..
 
Beinjing 1995 mko wapi??? Haya ndo mambo ya kuyapigia kelele, maana hayo ndo yana uhusiano wa karibu sana na jinsia yenu.....kuliko mengine mnayoyapigia kelele..

wapo sana tu kaka. na juhudi zao zimeishaleta mafanikio mengi makubwa sana na zinaendelea. i am proud to be part of this God given movement
 
Jamani mbona mie sifanikiwi kuona hio picha? au there is a problem?
 
maskini... subhallah... sasa jamani ujana wake aule wapi uzee ndio akurupuka kuoa???? ampe shida mtoto wa watu.... huyo si kama kajukuu chake tuu???:whoo:
 
wahindi bana... lakini demu anaonesha yupo kwenye 20`s .. ucipime na picha
 
maskini... subhallah... sasa jamani ujana wake aule wapi uzee ndio akurupuka kuoa???? ampe shida mtoto wa watu.... huyo si kama kajukuu chake tuu???:whoo:

Huyo ni mke wa nne wa mwisho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…