Marriage That Never Was


Wambandwa,
You see a problem shared is.......
There you are!
Good luck
 


I feel so proud to have you as a friend and brother ... big hug buddy ..
 
Wambandwa

Hii kali sana kwa kweli pole sana ..kama wachangiaji wengine kila kitu kina sababu na for a good will, shukuru Mungu. Hivi kwani ni lazima sana uowe? Ikibidi sana tafakari chukua muda mjue partner vizuri na ndugu zake. Mimi kama ningekuwa wewe harusi isingefika ilipo fikia, kupima ngoma nipelekwe na wake? Kwanini usingeenda na mtarajiwa na muonyeshane imani kwa wote juu ya uaminifu wenu? Sintooowa kwa kweli nitakuwa mtawa
 

Hawakukwambia hata sababu ya kuvunja harusi? Kisheria kwa kuwa mchumba wako ndiye aliyevunja harusi basi una haki ya kurudishiwa pete yako ya engagement na mahari uliyotoa. Ukiamua kuwa mjeuri unaweza kudai wakurudishie nusu ya gharama ulizoingia kwa ajili harusi yenu.
 


Naungana na Ledwin. Ni vizuri akachunguza chanzo cha kadhia hii. kwa vile ametueleza upande wake tu, ingekuwa vyema iwapo tungeweza kupata maelezo ya binti. inawezekana binti aligundua kasoro fulani ambayo ndugu yetu alikuwa hajui kama anayo na inaudhi. una habari kuwa kuna watu wamevunja uchumba baada ya mmoja kugundua kuwa mwenzake anakoroma usiku?? Ni kitu kidogo sana kwa wapendanao lakini kila mtu ana kipimo chake.

We learn through mistakes. Ni vyema ukatafuta chanzo cha kadhia hiyo ikiwezekana hata kabla ya kudai haki yako usije fika mahakamani binti akasema kitu ambacho hukujua kama kipo ukajikuta kibao kikikugeukia. itakusaidia pia utakapoanza uhusiano mwingine. just my thoughs....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…