Marriage vs non-marriage materials

Hiyo ni thread inayojitegemea. Hapa tunajadili Smiles siyo marriage material. Na katibu ananukuu hii yuziful sredi!
asprin mbona umeshakomalia sana hii mada,yani umefurahi kusikia simile sio wife materia? anyway huyo alosema yeye ni husband material?
 



oooooooops ar u a husband material?.... i jus wanna knw coz u also dfon look like aah
 
Hii naichukulia kama strategy ya Tuko on behalf on ISC kutaka kutuhamisha toka chama chetu kipenzi IPC...
Let me declare kwamba hili haliwezekani...whether wife or not wife material, sexy or not sexy...we will still say NO to infidelity!!
Sasa nyie mtajijua wenyewe...:becky:
 
asprin mbona umeshakomalia sana hii mada,yani umefurahi kusikia simile sio wife materia? anyway huyo alosema yeye ni husband material?

Yaani ili mradi tu watu tuhamie ISC...I repeat--we say NO NO NO:nono: to infidelity..sawa wapendwa?!
 

ISC is there to stand
 

Rose umenichekesha sana,maneno haya unayapataga wapi??:biggrin1:
 
Jamani JF ina visa kweli kweli......

Asprin unioe mke wa ngapi?
 
Jamani JF ina visa kweli kweli......

Asprin unioe mke wa ngapi?

Wifey material kama wewe, niko tayari kukufanya mke wa pili. Najua ntainjoi na sitajuta.

Ila Smiles..... Hapana kwakweli... Hana material ya marriage. Anafaa kwa infii tu!:third::third::third:
 
Duh .....ulivyo mng'ang'ania Smiles, utasema ulimuomba umuoe akakupiga kibuti vile πŸ˜›hoto:

kaaa nini sema tutasema nae .....πŸ™‚
 
Duh .....ulivyo mng'ang'ania Smiles, utasema ulimuomba umuoe akakupiga kibuti vile πŸ˜›hoto:

kaaa nini sema tutasema nae .....πŸ™‚


Siwezi kumwoa Smiles kwasababu hana material ya ndoa.

Naamini siwezi kula ban hapa kwa sababu sijatoka nje ya mada. Naweka angalizo mapema kabisaaa

Manake huchelewi kula ban kwa kosa la MATERIAL CALLING! :spit::spit::spit:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…