Marriage

Marriage

eRRy

JF-Expert Member
Joined
Jun 12, 2009
Posts
1,126
Reaction score
206
image007.jpg
 
habari yako mdogo wangu????!
ujumbe mzuri sana
 
Ujumbe mzuri, lakini wengi walidhani/walidai hawawezi kuishi bila wapenzi wao lakini waliweza/wanaweza! Nadhani hakuna formula kwenye suala la ndoa na mapenzi kwa ujumla.
 
Ujumbe mzuri, lakini wengi walidhani/walidai hawawezi kuishi bila wapenzi wao lakini waliweza/wanaweza! Nadhani hakuna formula kwenye suala la ndoa na mapenzi kwa ujumla.

Ni kweli kabisa hakuna formula maana unaweza kukuta manyanyaso/visa anayoyavumilia/anavyovivumilia mwanamke/mwanaume kwenye ndoa moja hayakubaliki/havikubaliki kabisa kwenye ndoa nyingine.
 
Yap! Marriage is philosophy, it depends on what you believe in it.
 
ni kweli ndoa ni kamari aina fomula kabisa utampenda mke yy atakupuuza mwingine atamchukia mke mke atampenda mume yani akuna fomula kabisa wala usione kwa jirani upaste ufikiri itafanya kazi kwako mh
 
Ni ujumbe mzuri ila hakuna binadamu hata mmoja ambaye maisha yake hapa duniani yanategemea uwepo wa mwanadamu mwenzake.
 
Back
Top Bottom