it is nt like pretending,it is the convinience. kuna watu wanapendana bt kitu kimoja tu kinawatenganisha. kama mna ustaarabu wa kutosha,it might workout bt nt forever.up until it is convinient for both of u. ukitaka kwenda kwa wachumba zako unaaga watoto u will be out of town. sasa na ww ndo zile za wanaume wa kibongo,bibie anakuambia im nt coming back this wknd,sijui kama utapata usingizi,lol
<br />
<br />