Married men live longer than single

Bramo

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2009
Posts
13,176
Reaction score
10,068
"A recent study shows that men who are married live longer than single men, but they're a lot more willing to die."
Research continue for the Reasons as to why they are willing to die, twaweza weka some of them, that is research
 
They can't handle the utamu of marriage
in short 'it is too sweet'
 
hawawezi kuishi bila wake zao so wanaona ni bora wao watangulie kufa.
 
"A recent study shows that men who are married live longer than single men, but they're a lot more willing to die."
Research continue for the Reasons as to why they are willing to die, twaweza weka some of them, that is research

Simple_wana ndoa ndio wanaoishi kwa stress pengine kuliko watu wa kada zingine zooote.
 
Mh kumbe, lakini bado kwa ujumla wanawake wanaishi miaka mingi zaidi ya Wanaume.
 
mara nyingi huwa hawaridhiki na wake zao...wanakua na vijumba vidogo nje kibao na yeye huyo huyo ndo waridhishe wote kihisia,kifedha,..........ebu niambie hizo stress atakazokua nazo....asife mchezoo!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…