Curvyminx
Senior Member
- Nov 29, 2016
- 181
- 224
Nina swali kwenu. Mnafanya mazoezi gani, au mabadoliko yotote ya chakula pindi mnapo hit miaka 30+. Nauliza hivi kwasababu kuanzia miaka hiyo sex is shorter si kama awali, kidogo tu wazungu hao. Tofauti na wanawake, sex drive iko juu mno, mpaka inatisha. Nini kimekusaidia ku last longer? Ukichana na mundende, vumbi n.k.
Mliolewa nanyi plz share.
Mliolewa nanyi plz share.