Marry wa late night ya EA radioo yupo wapi?

juvenile davis

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2015
Posts
4,752
Reaction score
4,467
Kama ni msikilizaji wa East Africa radio utaelewa ninachouliza.kuna dada alikuwa anatangaza miaka yote kipindi cha late night live kuanzia saa 4-7usiku.kwa sasa muda huo kuna The cruise.yule dadda yupo kipindi gani kwa sasa? Maana alikuwa vizuri sana
 
Nipo naye hapa home ndio ananipikia chai nigonge
 
Back
Top Bottom