Kama ni msikilizaji wa East Africa radio utaelewa ninachouliza.kuna dada alikuwa anatangaza miaka yote kipindi cha late night live kuanzia saa 4-7usiku.kwa sasa muda huo kuna The cruise.yule dadda yupo kipindi gani kwa sasa? Maana alikuwa vizuri sana