Kutokana na athari za vita inayoendelea nchini Ukraine na haionekani kuisha karibuni,nawasikitikia sana Raila na Martha endapo watachaguliwa kuongoza nchi ya Kenya
Wananchi watakua na tegemeo kubwa la kubadilika kwa hali ya maisha na itawawia vigumu sababu ya vita hivo ambayo wananchi wa kawaida hawataelewa kama ndio sababu.
Hapo ndipo upinzani utaamka na kuwazodoa kwamba mnawaona watu mliosema eti watabadilisha maisha yenu.
So najaribu kuona mbele hapo na hali ya dunia inapoelekea nawaonea huruma sana.