Martial arts school

Martial arts school

Askofu

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2009
Posts
1,664
Reaction score
87
Wapendwa,

Nawasalimu katika jina la Mungu aliye juu

Naomba kujua nitapata wapi shule inayofundisha martial arts hapa Dar es Salaam kwa ajili ya watoto wa umri wa miaka 3 kuendelea.

Mbarikiwe sana
 
Nenda Russian Cultural Centre (Upanga) kuna dojo zuri sana kwa watoto kuanzia umri uliotaja hapo
 
NAMI nilitaka kupataja pale...!(RUSSIAN CULTURE)
 
Back
Top Bottom