Usimfananishe Tale na kadinda....Tale kibongobongo anajitahidi sana .
Amehamia kwa lulu ndo upepo unakovuma kwa sasa mabuzi wakikata kusupply atahamia sehemu nyingine maanake lulu ndo hot cake ya mujini kwa sasa.akisha fumuliwa alegee kama wema na kufulia utaona Martin anaanza kummanage mwingine.wema kaka manager kwishnei sasa.halafu nilimwona wema ananundu mgongoni anaificha nanywele sijui imeisha ile.
Tale anabebwa na ndomo, ila sioni anachom manage ni kama wema tu na martin sema wema hajibiidishi na sio mbunifu kama ndomo ila management zao sawa tu, tofauti nyingine martin kasoma na ana biological management skills jamaa anajielewa sio kama babu tale.
Tale atleast ana background ya kusimamia wasanii na wakatusua na walipotoka kwenye mikono yake wakapotea na ndio maana ata Diamond alienda kumuomba ammeneji na kuwaacha watu wanaoonekana kama ni professional machoni petu, japo skatai domo juhudi zake zinambeba.... binti kiziwi, kassim mganga, spark, tundaman ni mfano mdogo.
Ukimkabidhi kazi yako Tale akusambazie leo, kesho asubuhi utaiskia mpaka radio za kigoma mpaka Nairobi,ndio maana ata Mx anajaribu kupita mule mule.
Mimi Kadinda uwa namuona tu anazunguka na kina Wema, ebu uniambie labda ana cv gani kwenye management ?
Well said mkuu, experience ya babu tale ya u management pia ina matter.
Martin ni mtu ambaye ana msimamo wake,yupo smart kichwani na ana akili za ziada na ni mbunifu sana yule jamaa, kama wema asingekuwa anam manage martin badala ya yeye kumenejiwa nadhani yule demu angefika mbali sana kisanaa
Martin ana networking nzuri na anafahamiana na watu mbali mbali kimataifa, so ingekuwa rahis kwa wema kufanya kazi na wasanii wa nchi mbali mbali africa na ulaya, maana martin mwenyew kashafanya sana fashion show kule marekani nakumbuka jamaa alishindag tuzo ile lebo yake ya single button uko marekani, so ilikuwa rahis kumuambukiza wema kiu na shauku ya kufanya kazi kimataifa kama manager wake,sema wema ndo ivo kila kitu yeye star anajiamulia yeye badala ya manager
Ndio maana nakwambia Kadinda hajawai kuwa meneja ata kwa level za industry yetu. Alikuwa ana act kama mpambe tu.
Mtu kama Tale akiwa meneja wako anaangaika kila kona, hautakaa ukisubiri shows au deal zikufuate atapiga fitna mpaka mikoani uko utapata show, wimbo wako unaweza kuwa maarufu uko mikoani kuliko ata Dsm na ukapata vimeo vya kutosha. Yeye ana tatizo la shule ila linaweza kuisha kwa izi safari zake na Diamond.
Mtu kama Kadinda yeye kama meneja anakubali vipi kupelekeshwa na mwajiri wako kwenye taaluma yako, ukishakubali kuwa mpambe badala ya meneja hautaheshimika ata mipango yako itapuuzwa, mpaka wa kazi na ushikaji hautakuwepo,mwisho utafeli . Kama Wema alikuwa disappointment tuone kwa Lulu.
Amehamia kwa lulu ndo upepo unakovuma kwa sasa mabuzi wakikata kusupply atahamia sehemu nyingine maanake lulu ndo hot cake ya mujini kwa sasa.akisha fumuliwa alegee kama wema na kufulia utaona Martin anaanza kummanage mwingine.wema kaka manager kwishnei sasa.halafu nilimwona wema ananundu mgongoni anaificha nanywele sijui imeisha ile.
Tutatoa na video ya nyimbo kumpa hongera kwa msiba huo
We ni esma kwani? Au halima kimwana
ngoja mimi nipite mana nikisema niseme chochote na muda huu kifurushi kinaisha msije nichangia!
KUFA MTATANGULIA NINYI kwa nini mnamchulia wifi yangu ivi!!
Nae asitutishe apa kufa ndo mdudu gani? Akafie mochwar uko
We ni esma kwani? Au halima kimwana
Dada wa hiyar na yeye? Mmh basi ndomo kazi anayo mwaka huu