Martin Kadinda Soon Kuoa

Status
Not open for further replies.

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Posts
56,205
Reaction score
79,515
Umofia kwenu wana JF,
Meneja wa wema sepetu(beautiful onyinye) martin kadinda yupo mbioni kufunga ndoa na mchumba wake! Stay tuned.

~~~~~~~
Mbunifu wa mavazi Bongo, Martin Kadinda, amesema kuwa baada ya kuishi bachela kwa miaka mingi amepanga kuoa ' soon' mwanamke ambaye ni mpenzi wake wa siku nyingi ili kumaliza maneno ya watu kuwa hajiwezi.

Akizungumza na Amani, Kadinda alisema kuwa mwanamke anayemuoa si aliyezaa naye mtoto bali ni mwanamke aliyekuwa naye kwenye uhusiano kwa muda mrefu na tayari anatambua tabia zake hivyo hana shaka juu ya kuishi kwao pamoja.

"Wazazi wako tayari juu ya hilo nadhani na sitaki kumweka hadharani sasa hivi maana watu hawakawii kuharibu kwa maneno yao machafu, lakini wale ambao walidhani sitaweza kufanya hivyo watambue kuwa mwakani naoa," alisema Kadinda.
 
Pana uwalakini na huyu kijana wasije kutongozwa na bwana mmoja
 
Kitandàa usichokilalia hujui kungun wake..!
 
Martin huyu?
 

Attachments

  • 1419655699078.jpg
    61 KB · Views: 2,490
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…