Martin Kadinda: Wanaume wengi wananitongoza wakidhani ni shoga

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
Mbunifu wa mavazi nchini, Martin Kadindaamesema kuwa amekuwa akikutana na changamoto kutoka kwa wanaume wengi wanaodhani kuwa yeye ni shoga na kufikia hatua ya kumtumia ujumbe wa kumtaka kimapenzi.

"Kila mtu anakuwa na maswali yake anaya-raise kutokana na anacho kifikiria katika akili yake, Watanzania tunatabia ya ku-create situation katika akili zetu halafu we want everybody to accept.

Kwamba mtu tu anaamka asubuhi may be ana matamanio na wewe anaanza ku-raise hilo swali aone jibu litakuwa ni nini. Wapo wengi (wananitamani) wako hivyo, facebook, Instagram mtu atakutumia namba yake, hakwambii lakini unaona kabisa huyu, nakukubali sana I wish siku moja uje nyumbani kwangu au can I come to your place, mimi sitakagi hata kwenda huko najua nitajiuliza imekuaje mpaka imefikia hivi, basi nasema sawa.

Kwa sababu mimi facebook nakuwa mkweli sijawahi kujibu mtu tangu 2012, I have a person huwa anazipitia, akiulizia mtu maswala modelling mpe namba ya fulani, mambo mengine binafsi usiwajibu achana nao, kwa sababu mara ya kwanza nilikuwa ninadhani I should meet these people talk to them this is not right but nikaona unapoanza kuwa unajihusisha ndipo unapojikuta unaanza kuingia bila kujua" Martin Kadinda aliambia Sporah Show.

Pia Martin amesema kuwa anampenzi wake ambaye hapendi kumuweka wazi ili kulinda heshima yake. "Ukishakuwa maarufu na mtu wa karibu yako atakuwa maarufu, she's not already kwa hiyo kitu yakuingia kwenye hiyo cycle kila siku wanamuona kwenye magazeti kwenye Instagram haiko hivyo.

Ndiyo maana hata nikiweka picha yake Instagram nitaweka picha yake moja kwa miezi sita, yupo hata ukitaka kumuona kwenye Instagram yangu yupo, first lady wa martin huyu, lakini cycle yake na maisha yake siyo mtu wa kukaa kwenye media nadhani ni kwa sababu ya future ya kazi atayokuja kuifanya kwaiyo anajitaidi kuwa pembeni.

Mara ya kwanza alishawahi kuniuliza alipita kwenye comment za watu kwenye blog fulani akasoma, akaniambia najua hii ni Watanzania walivyo, as long nakutambua mwanaume wangu ni mtu wa namna gani I don't care about these people" Alimaliza Martin
 
Daa Kweli huyu ni tatizo kabisa yani ana kaa chini na kuongea haya mwanume mzima!

Duuuuu hakika dunia ina Mambo! Yani mwanaume mwenye akili timamu una kaa chini na kusimulia ulivyo tongozwa kabisa!
Ina sikitisha sana!
 
warumi bana, sasa News Alert iko wapi hapa? Au ndo ushoga wenyewe mnauleta humu?
 
Hahahaaaaa afu hta anavosema et mpenz wake cjui anamu understand???? Dah yan made up statement kabsaa
 
Mwanaume huwezi kuongea hivi, kauli zake hizi ndo zimenifanya leo niamini huyu jamaa hayuko sawa..duh!
 
Mwanaume wa kweli hawezi kusema hichi kitu hadharani ni aibu na fedheha......yani kabisa unatangaza wanaume wenzako wanakutongaza.....haiwezekani.....
 
Huyo mchele wa kitumbo haufai kupikia biriani,mwanaume suruali
 
Mbona kule Tosamaganga sec alikua anawafata mwenyewe au kwakua alikua anaanza hako kamchezo leo hii anafatwa yeye na anaringa.,tena atasababisha waume zake waanze kujitokeza bure bora akaushe maisha yaendelee.

hahahaaa....!hatareee..!kumbeee leo nlikua busy
 
Daa Kweli huyu ni tatizo kabisa yani ana kaa chini na kuongea haya mwanume mzima!

Duuuuu hakika dunia ina Mambo! Yani mwanaume mwenye akili timamu una kaa chini na kusimulia ulivyo tongozwa kabisa!
Ina sikitisha sana!

Tena kwenye media?..mimi ndio kwanza nasikia kwake kwamba mwanaume rijali anatongozwa!
 

Hahaaaa mkuu we acha tu nlikutana nae clock tower akavunga hanijui nkampotezea alikua akiniona korido ya bweni anakimbia vibaya coz nlikua nampa Makavu alikuaga o level mi nipo PCM3!!
 

Si uwatajae binamu apa au nikufuate chemba
 
Sasa wanakutongoza vipi na jina lako tu linawatahadharisha, jamani kaeni mbali Martin KADINDA.
 
mjinga unamshangaa martin KADINDA
 
JITOKEZE uliyewahi kutoka nae ili kuthibitishaa hilo! yaani wewe mwanaume!,....japo hata mimi huwa simuelewagi huyu jamaa! dizaini ya DEMU!
 
atakuwa mchepuko wa mtu flani huyo...

manina zake mwanaume kuwa na sifa kama hiyo ni ushenzy!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…