Miss Neddy
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 14,681
- 8,736
Dandia sana wanaume huyu mtoto mpaka kero sema tu kipindi kile watu wengi nati za kichwa zilikua hazijafyatuka kuna mtani alimpa makofi usiku wa manane bwenini,alafu ukikutana nae siku hizi anavunga kakusahau tunaishia asante Mungu hatujasalimia na punga lisije leta nuksi,haaaaahaa acha hawadanganye wasiomjua ila wahuni kadhaa waliompitia nawajua wengine wanakula maunga ngoja wamfate kukumbushia.
Mwanaume wa kweli hawezi kusema hichi kitu hadharani ni aibu na fedheha......yani kabisa unatangaza wanaume wenzako wanakutongaza.....haiwezekani.....
wekeni picha yake tumuone,wengine hatumjui,tunabeba mabox mda wa kufuatilia mambo hayo hatuna!
M/ume uliyekamilika huwezi kuongea kitu km hicho,,na kwanini asitongozwe Kala Piña kwa nini wewe?
Sent from my iPad Air using JamiiForums mobile app