Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Naelekea Uzeeni sasa lazima niwe na utulivu~
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.
Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.
“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.
Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.
Chanzo: Swahili News
We acha tu sasa hivi hana inshu tena.Na bahati mbaya dimond ndio kashazama kwa zari..papuchi nayo inazidi zeeka..asipojipanga magu atampanga..
Naona hata yale mashauzi ya bday yamekata kabisa..
Aiseeee.....[emoji15] [emoji15]alianza kubadili ngozi
mabwana
kucha
kope
nywele
labda angebadili ubongo ingekua habari kubwa
Anapaswa ajipumzishe yeye mwenyeweDah! Huyu dada apumzishwe kwakweli
Kama [emoji295] limeanza kuzamaAge imeenda... lazima atulie sasa
kadinda atakua anammanage kwenye biashara isiyo na mtajiKwahiyo anaprove kuwa meneja wa sasa ni bora zaidi ha yeye kadinda
na huyu dogo wa juzi calisah unamuachaje?Mtaji papuchi..blue,tid,kanumba,luis,jumbe,chaz baba,mngeja,ck,bob junior,dimpoz,mkongo,diamond,sultan..nk.
lazima atakuwa anajipaka mafuta ya korosho papuchini kuzuia kutu fangasi.