pumzihaiuzwi
JF-Expert Member
- Mar 27, 2015
- 3,273
- 3,083
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.
Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.
“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.
Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.
Chanzo: Swahili News
Duh!!!!Mtaji papuchi..blue,tid,kanumba,luis,jumbe,chaz baba,mngeja,ck,bob junior,dimpoz,mkongo,diamond,sultan..nk.
lazima atakuwa anajipaka mafuta ya korosho papuchini kuzuia kutu fangasi.
HahhahhahahahhahhahahhhaSiyo kubadilika, HUO NI UZEE UMEINGIA! Mimi naangalia picha za vibinti vya miaka 18 hadi 24 tu.
Hajabadilika ametoa pcha tu.
ALIYEKUWA Meneja wa Mrembo wa Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu, Martin Kadinda, amempongeza mwanadada huyo kwa kubadilisha mfumo wa maisha yake.
Akizungumza jana, Martin alisema kitendo cha Wema kufuta picha zake kwenye mitandao ya kijamii na kubadili tabia za kuweka wazi maisha yake ni hatua ya kupongezwa.
“Uamuzi alioufanya Wema ni hatua nzuri na ya kupongezwa, mimi na familia yake hatukuwa tukipendezwa nayo kwa kuwa ilikuwa ikichafua jina lake,” alieleza Martin.
Martin aliongeza kwamba Wema ambaye amebadili meneja kwa sasa, amekuwa tofauti na alivyozoeleka maana amekuwa muelewa na msikivu kwa anachoelekezwa.
Chanzo: Swahili News
Nasikiaga wanakulagahuyo Martini si ''mtoto wa watu" huyo.......alafu ndo manager....!!!!!!!!!!
Jua limeanza kuzama... uko right.. ushimenKama [emoji295] limeanza kuzama
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]alianza kubadili ngozi
mabwana
kucha
kope
nywele
labda angebadili ubongo ingekua habari kubwa
Teh teh tehItakuwa Anapika kiki mpya ili akifumuka uko iwe kokoro.
[emoji87] [emoji115]alianza kubadili ngozi