Martin Kadinda: Wema Sepetu amebadilika hadi raha!

Usawa mbovu huu, lzm abadilike, waongaji wote wametumbuliwa na magu boy
 
Kwahiyo Kufuta picha Instagram ndio amebadilika? Nilijua ameacha tabia yake ya kula vichwa? Meneja wa Wema kazi yake ni P.I.M.P?
 
Naomba nipate nafasi ya kuonana na wema! Nina jambo mhimu sana kwake ili aweze kutulia zaidi ya anavotaka kutuaminisha kuwa ametulia.Mwenye namba zake pls
 
hamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.
 
Vp kuhusu mrejesho wa ile habari ya protein enhanced juu ya seat zake?
 
hamna. ni vile photogenicity imefifia - sababu ya ageing.
huenda hii nayo ikawa sababu
Ila naona cku hizi na yeye ni mtangazaji kwenye tv, aliona wenzie wote wanasonga kimaisha ila yeye yuko palepale, ameamua kushtuka sasa
 
Naomba nipate nafasi ya kuonana na wema! Nina jambo mhimu sana kwake ili aweze kutulia zaidi ya anavotaka kutuaminisha kuwa ametulia.Mwenye namba zake pls
mtafute kwenye kile kipindi anachotangaza nadhani itakuwa rahisi zaidi maana huenda hapa hakuna mwenye namba zake
 
Mmmmmh mbona wengi picha mtandsoni na hawachafui majina yao, ameysems ksma vile ns chipupa nayo kaifunga.

Akapumzike W
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…