Martin Kadinda: Wema Sepetu amebadilika hadi raha!

Mi sijaelewa hapo kwenye meneja tu. Sasa meneja wa nini? Embu nifafanulieni.
 
Nataka kuzaa na huyu madam jaman hembu nipen file lake
 
Chochote atachofanya huyu binti kwa watu ni kibaya, kuna watu wanasema age imeenda. Nabaki kujiuliza miaka 29 ndiyo ya kumsakamia mtu kuwa age imeenda? roho mbaya tu!!
Yani huwa najiulizaga hivi ni yeye tu anayefanya mabaya! Anyways ndio ya dunia tenaa
 
Kaul ya hapa kazi tu na yy inamtafuna, hana jipya angeshtuka mapema angekuwa mbali..
 
AWAMU HII YA JPM KILA HAWARA ATABADILIKA TU...BABA TUNYOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOSHE TU
 
hakuna pesa za dili siku hizi, wote wamekaa sawa
 
Kabadilika au sasa hivi hana kiki mpya?
Alikuja na kiki ya mimba ikabuma sijui atakuja na kiki gani tena[emoji23] [emoji23]
 
Wajanja tumeng' amua...unajua wanapenda piga picha na nguo mpya kilasiku...sasa kwa usawa huu wa magu hakuna mhongaji..
Ajikite kufanya kazi ale jasho lake na si kukaa uza nyapu
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji23]
 
Sasa ndio katumwa aje aongee hivyo kama kabadilika
 
Amebadilik au sababu anaona anachuchujaa sasa atafanyajee lzm atafute kiki mpya ili ule mtego wake unasee
 
kipindi hiki lazma abadilike ,kama n number ashaisoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…