Saa,suti,tai,soksi,viatu boxer from UK!Unakuta wanasema mabeberu wakati kuanzia kichwani mpaka miguu wamevaa cha mabeberu.
Tena unakuta wanatamba wanasema mimi nanunua "brand original" tu.Saa,suti,tai,soksi,viatu boxer from UK!
Atakufuata DM akuchimbe mkwara
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
Wakiwa na Bi Msumi wanajidai kuwa wazalendo nambari mojaTena unakuta wanatamba wanasema mimi nanunua "brand original" tu.
Maccm wote ni wanafiki watuupuuUnakuta wanasema mabeberu wakati kuanzia kichwani mpaka miguu wamevaa cha mabeberu.
Uchawa kwa sasa ndio wanauita uzalendo.Maccm wote ni wanafiki watuupuu
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
Vyetu viko wapi? Tuvae magome ya miti na ngozi?Saa,suti,tai,soksi,viatu boxer from UK!
Hapa ukishakuwa Chawa basi wewe ndiye mzalendo.Uchawa kwa sasa ndio wanauita uzalendo.
Tulianza vizuri,Mwatex, urafiki nk,vimekufa!Vyetu viko wapi? Tuvae magome ya miti na ngozi?
HIVI ZILE HARAKATI ZA KUTOKWENDA KU SUPPORT MIZIKI NA SHOW ZA WASANII WALIOIMBA KWENYE KAMPENI ZA CCM MWAKA 2025 ZILIFIA WAPI AU ILIKUWA NI MIKWARA TU ?
GIRISHONI kanichapa BLOCK usiku wa manane, baada ya kumtaka atupe ufafanuzi wa kwanini anatumia chaneli za MABEBERU kuangalia WEDIKAPU wakati TBC UKWEL na UHAKIKA ipo lele-lele. Anamuachia nani ‘kwaliti’ mbovu ya TBC. Uzalendo nje, ndani kwake aaah!🤣
Nani aliua Urafiki, Sunguratex, Mwatex, Bora, Bata!!?Vyetu viko wapi? Tuvae magome ya miti na ngozi?