Aliyekuwa Mbunge jimbo la Mbinga Vijijini 2015/2020 Martin Msuha, amechukua fomu, kugombea ubunge Jimbo la Kibamba kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM).
Halafu utasikia wenzetu hapa wanakuja na “wapinzani hawajaleta maendeleo majimboni mwao” na wengine “ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100%”. Mwingine anasema “mlikosea kuchagua”.
Mbunge wa CCM uliyeleta maendeleo jimboni mwako, unayakimbiaje!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.