Nahodha wa Vinara wa Ligi kuu England, Arsenal, Mnorway Martin Ødegaard leo anatimiza miaka 24.
Ødegaard ni nahodha wa pili mwenye umri mdogo zaidi kwenye Ligi kuu England nyuma ya mlinzi Lloyd Kelly wa AFC Bournemouth mwenye umri wa miaka 23.
Kheri ya siku ya kuzaliwa Nahodha